Sunday, November 23, 2014

KWA VIONGOZI WA CONFERENCE, KANDA , MATAWI NA WANACHAMA WOTE; YAH: UTARATIBU MPYA WA KULIPIA KIINGILIO KWA WALIOCHELEWA. Wapendwa salaam! Baada ya deadline ya STU na bado maombi yetu ya kuongezewa muda kutojibiwa mpaka sasa,  tulifanya mawasiliano na uongozi wa NTUC( Nothern Tanzania Union Conference) kuhusu kulipia maana wao wamepewa mpaka trh 30/11/2014. Tuliwaomba kuwa wanachama wetu walipie  kupitia kwao, Mungu ni mwema walitukubalia. Kutokana na hilo tunawatangazia utaratibu ufuatao. 1. Malipo yote yafanyike katika, TANZANIA...
Posted by Unknown on 12:58 PM  No comments »

Sunday, November 16, 2014

...
Posted by Unknown on 11:47 AM  No comments »

Tuesday, November 11, 2014

...
Posted by Unknown on 1:55 PM  1 comment »
Ndugu kiongozi, napenda kukumbusha kujiandaa na kikao cha kanda (Darzone EXCOM) kitakachofanyika katika kanisa la waadventista wa Sabato mwenge jumapili  (16/11/2014). Aidha kwa upande wa agenda tunazotegemea kuwa nazo ni pamoja na 1.  UFUNGUZI WA KIKAO. 2 .TAARIFA YA KIKAO KILICHOPITA. 3 .MIPANGO YA UINJISTI. 4. TAARIFA ZA CHAMA NA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA VIONGOZI. 5 .RATIBA YA MATUKIO MUHIMU. 6. TAARIFA ZA MUHIMU KUTOKA KWA VIONGOZI MFANO MATUKIO YALIYOJIRI KAMA RETREAT, REBEKA FUND .... 7 .MENGINEYO 8.  KUFUNGA KIKAO. NB. Kwa...
Posted by Unknown on 1:24 PM  No comments »
...
Posted by Unknown on 12:56 PM  No comments »

Bookmark Us

Delicious Digg Facebook Favorites More Stumbleupon Twitter

Search