HI BRETHREN!!!, THE TUCASA DAR-ZONE FEDERATION WILL BE HELD AT KAM COLLEGE LOCATED AT KIMARA ON 13rd DECEMBER 2014. COME TOGETHER, WORSHIP AND PRAISE OUR LORD GOD AS THIS BEING OUR LAST FEDERATION IN THIS YEAR AND BEFORE LEAVING FOR BARATON RETREAT. BE BLESSED!!!!
By Kinyunyi M.I,
communication coordinator tucasa-darzon...
-
BAGAMOYO SUB ZONE OPENING
These are places where God can be praised from what little we have
-
cooollllll
Am trying a lot
-
Enter Slide 3 Title Here
This is slide 3 description. You can replace this with your own words. Blogger template by NewBloggerThemes.com...
Tuesday, December 2, 2014
Sunday, November 23, 2014
KWA VIONGOZI WA CONFERENCE, KANDA , MATAWI NA WANACHAMA WOTE;
YAH: UTARATIBU MPYA WA KULIPIA KIINGILIO KWA WALIOCHELEWA.
Wapendwa salaam! Baada ya deadline ya STU na bado maombi yetu ya kuongezewa muda kutojibiwa mpaka sasa, tulifanya mawasiliano na uongozi wa NTUC( Nothern Tanzania Union Conference) kuhusu kulipia maana wao wamepewa mpaka trh 30/11/2014.
Tuliwaomba kuwa wanachama wetu walipie kupitia kwao, Mungu ni mwema walitukubalia. Kutokana na hilo tunawatangazia utaratibu ufuatao.
1. Malipo yote yafanyike katika, TANZANIA...
Posted by Unknown on 12:58 PM No comments »
Sunday, November 16, 2014
Tuesday, November 11, 2014
Ndugu kiongozi, napenda kukumbusha kujiandaa na kikao cha kanda (Darzone EXCOM) kitakachofanyika katika kanisa la waadventista wa Sabato mwenge jumapili (16/11/2014). Aidha kwa upande wa agenda tunazotegemea kuwa nazo ni pamoja na
1. UFUNGUZI WA KIKAO.
2 .TAARIFA YA KIKAO KILICHOPITA.
3 .MIPANGO YA UINJISTI.
4. TAARIFA ZA CHAMA NA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA VIONGOZI.
5 .RATIBA YA MATUKIO MUHIMU.
6. TAARIFA ZA MUHIMU KUTOKA KWA VIONGOZI MFANO MATUKIO YALIYOJIRI KAMA RETREAT, REBEKA FUND ....
7 .MENGINEYO
8. KUFUNGA KIKAO.
NB. Kwa...
Posted by Unknown on 1:24 PM No comments »
Sunday, June 22, 2014
Wednesday, March 12, 2014
JUMAMOSI YA TAREHE 8/3/2014 VIONGOZ WA DAR ZONE WALIKWENDA BAGAMOYO KUFUNGUA ZONE MPYA AMBAYO ITASAIDIA KATIKA UFANIKISHAJI WA KAZI YA MUNGU KATIKA VYUO VINAVYOPATIKANA BAGAMOYO
VIONGOZI WAPYA WA SUBZONE
WAKISIKILIZA MANENO KUTOKA KWA PR YOY...
Posted by Unknown on 2:02 AM No comments »
Friday, January 31, 2014
FEDERATION IJAYO YA TRH 8/2/2014 ITAFANYIKIA KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY (KIU) chuo kipo GONGO LA MBOTO Kama kutakuwa na mabadiliko utapewa taarifa mapema. Pili, tunaomba usajil wa wanachama uendelee kwa kasI kwan taarifa tunahitaji mwisho trh 15/2/2014 ili kutengeneza data base. Tatu, tangu sasa tutakuwa tunapokea taarifa ya tawi kila mwez ili kuongeza ufan...
Posted by Unknown on 8:06 PM No comments »
Search
Copyright © 2025
TUCASA DAR ES SALAAM ZONE