Monday, December 2, 2013

TUCASA DAR ZONE  WAMEANDAA PICNIC AMBAYO SI YA KUKOSA  EWE MWANA CHAMA ITAKAYO FANYIKA DAR ZOO *MAHALI NI:  DAR ZOO  *GHARAMA NI SHILING ELFU SABA TU(7000) *UNCLE CHRISS ATAKUEPO KATIKA KUTOA MASOMO MBALI MBALI BILA KUSAHAU  WAKUFUNZI WENGINE *MICHEZO MBALI MBALI NAYO HAITAKOSA(kukimbiza kuku,mpira wa miguu,kuogelea nk) *UTAWEZA KUANGALIA UUMBAJI WA MUNGU KUPITIA WANYAMA MBALIMBALI(simba,,ngamia.sokwe.nk) *SIKU NI TAREHE 9/12/2013  <br>...
Posted by Unknown on 7:25 AM  No comments »

Bookmark Us

Delicious Digg Facebook Favorites More Stumbleupon Twitter

Search