Tuesday, November 11, 2014

Ndugu kiongozi, napenda kukumbusha kujiandaa na kikao cha kanda (Darzone EXCOM) kitakachofanyika katika kanisa la waadventista wa Sabato mwenge jumapili  (16/11/2014). Aidha kwa upande wa agenda tunazotegemea kuwa nazo ni pamoja na
1.  UFUNGUZI WA KIKAO.
2 .TAARIFA YA KIKAO KILICHOPITA.
3 .MIPANGO YA UINJISTI.
4. TAARIFA ZA CHAMA NA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA VIONGOZI.
5 .RATIBA YA MATUKIO MUHIMU.
6. TAARIFA ZA MUHIMU KUTOKA KWA VIONGOZI MFANO MATUKIO YALIYOJIRI KAMA RETREAT, REBEKA FUND ....
7 .MENGINEYO
8.  KUFUNGA KIKAO.
NB. Kwa wanachama mnakumbushwa kuombea kikao hiki ili maamuzi na mipango inayoafikiwa iongozwe na Roho wa Mungu.
Karibuni sana na Mungu awabariki.
Posted by Unknown on 1:24 PM  No comments »



Posted by Unknown on 12:56 PM  No comments »

Sunday, June 22, 2014


Posted by Unknown on 1:34 PM  No comments »

Wednesday, March 12, 2014

JUMAMOSI YA TAREHE 8/3/2014 VIONGOZ WA DAR ZONE WALIKWENDA BAGAMOYO KUFUNGUA  ZONE MPYA AMBAYO ITASAIDIA KATIKA UFANIKISHAJI WA KAZI YA MUNGU KATIKA VYUO VINAVYOPATIKANA BAGAMOYO
VIONGOZI WAPYA WA SUBZONE

WAKISIKILIZA MANENO KUTOKA KWA PR YOYO

Posted by Unknown on 2:02 AM  No comments »

Friday, January 31, 2014

FEDERATION IJAYO YA TRH 8/2/2014 ITAFANYIKIA KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY (KIU) chuo kipo GONGO LA MBOTO Kama kutakuwa na mabadiliko utapewa taarifa mapema. Pili, tunaomba usajil wa wanachama uendelee kwa kasI kwan taarifa tunahitaji mwisho trh 15/2/2014 ili kutengeneza data base. Tatu, tangu sasa tutakuwa tunapokea taarifa ya tawi kila mwez ili kuongeza ufanis.
Posted by Unknown on 8:06 PM  No comments »

Monday, December 2, 2013

TUCASA DAR ZONE 
WAMEANDAA PICNIC AMBAYO SI YA KUKOSA  EWE MWANA CHAMA ITAKAYO FANYIKA DAR ZOO

*MAHALI NI:  DAR ZOO 
*GHARAMA NI SHILING ELFU SABA TU(7000)
*UNCLE CHRISS ATAKUEPO KATIKA KUTOA MASOMO MBALI MBALI BILA KUSAHAU  WAKUFUNZI WENGINE
*MICHEZO MBALI MBALI NAYO HAITAKOSA(kukimbiza kuku,mpira wa miguu,kuogelea nk)
*UTAWEZA KUANGALIA UUMBAJI WA MUNGU KUPITIA WANYAMA MBALIMBALI(simba,,ngamia.sokwe.nk)
*SIKU NI TAREHE 9/12/2013 
<br>
Posted by Unknown on 7:25 AM  No comments »

Tuesday, June 18, 2013






MAJINA YA VIONGOZI WAPYA.
Chairman :Eliya Ngereja
Deputy Chairman: venance Andrew
Secretary: maiko john
Dep:christopha chisase
Treasure:verynice chibunu
Comm director:IAN Erik
Spiritual care giver:robert manyama
Internal auditor:Inocent nyamfulula
Program and music director;winfrida magayi
Dep:gibson wilson
Majina hayo hapo juu ni ya viongozi waliopendekezwa na kibaraza cha uchaguzi.Kama kuna mwenye neno kwa yeyote kati yao. Wasiliana na;
Mwenyekiti wa kibaraza:+255764477355
Katibu wa kibaraza:0782762511
Posted by Unknown on 12:05 AM  No comments »

Bookmark Us

Delicious Digg Facebook Favorites More Stumbleupon Twitter

Search